Sisi ni nani?

MigraBO LGBTI ni kundi la LGBTI iliyozaliwa jijini Bologna mwaka wa 2012 kwa lengo ya kusaidia wahamiaji wa LGBTI (Lesbians, Gays, Bisexuals, Transexuals, Transgenders, Queers na Intersexuals) nchini Italia waliotoka nchi zingine katika mchakato wa kukaa nchini kwetu na ulimwenguni.
Kikundi hiki kimeleta makundi mengine kutoka Bologna na mkoa wake ili kujadilia na kusaidia masuala ya jinsia na uhamiaji.
Mmoja wa huduma zake za msingi inayotekeleza ni kusaidia katika kukamilisha maombi ya ukimbizi wa kisiasa katika nchi yetu.
Huduma zote za kikundi cha MigraBO LGBTI ni za bure na tunahakikisha kuweka taarifa zote za wahamiaji siri.
Ukitaka kujua maelezo zaidi unawezakutuandikia barua pepe/Email ukitumia anuani hii:
migrabolgbt@gmail.com
Kadhalika, nambari zetu za simu ni:

+39 339/3389448 (sms/whattsapp)  +39 333/3556328  +39 351/0226996

 

Support us! Make a

Annunci

Rispondi

Inserisci i tuoi dati qui sotto o clicca su un'icona per effettuare l'accesso:

Logo WordPress.com

Stai commentando usando il tuo account WordPress.com. Chiudi sessione /  Modifica )

Google+ photo

Stai commentando usando il tuo account Google+. Chiudi sessione /  Modifica )

Foto Twitter

Stai commentando usando il tuo account Twitter. Chiudi sessione /  Modifica )

Foto di Facebook

Stai commentando usando il tuo account Facebook. Chiudi sessione /  Modifica )

w

Connessione a %s...